iqna

IQNA

tafsiri ya qurani na wafasiri
Tafsiri na Wafasiri wa Qur'ani Tukufu /17
TEHRAN (IQNA) – Tafsiri ya Qur'ani Tukufu ya Jawami Al-Jami ni tafsiri iliyofupishwa ya Qur'ani ambayo sifa yake kuu ni kuwa kazi ya kifasihi inayofafanua aya za Qur’ani kwa maneno mafupi na inajumuisha aya zote za Kitabu hicho Kitakatifu.
Habari ID: 3476556    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/13

Tafsiri za Qur'ani Tukufu na Wafasiri /12
TEHRAN (IQNA) – Ruh al-Ma'ani ni tafsiri pana na kamili zaidi wa Qur'ani Tukufu hadi sasa iliyoandikwa na wanazuoni wa Kisunni.
Habari ID: 3476278    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/20

Tafsiri za Qur'ani Tukufu na Wafasiri/ 9
TEHRAN (IQNA) – Mwandishi wa Tafsiri ya Qur'ani Tukufu ya Makhzan al-Irfan fi Tafsir al-Qur'an alikuwa ni mwanamke ambaye alifikia kiwango cha juu kabisa katika elimu ya Fiqh na alikuwamwanamke wa kwanza kuandika tafsiri nzima ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3476160    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/28

Tafsiri ya Qur’ani na Wafasiri /8
TEHRAN (IQNA) – Al-Tibbyan Fi Tafsir al-Qur’an iliyoandikwa na Sheikh Tusi ni tafsiri ya kwanza ya Qur’an Tukufu iliyoandikwa na mwanazuoni wa madhehebu ya Shia ambayo inajumuisha Sura zote za Qur’ani.
Habari ID: 3476123    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/21